COVID 19 IMERUDI TENA.....
Covid 19 inasemekana kuwa imerudi hapa nchini japokuwa bado haijatangazwa rasmi ila kinga ni bora kuliko tiba, HIVYO inasisitizwa kuvaa barakoa kama kawaida ili kujikinga na ugonjwa huo hatari.
Ugonjwa huo umeua watu wengi sana hadi kufikia mwaka huu wa 2021 , ambapo nchi ya Italia ndio wameathirika zaidi kote
Post a Comment