Mwanamuziki aliyepata umaarufu baada ya kujiunga na WCB Zuchu amepanda jukwaani kutumbuiza umati mkubwa uliojitokeza kuishangilia simba sport club kwenye mashindano ya SIMBA SUPER CUP iliyofanyika katika uwanja mkuu wa Taifa jijini dar es salaam...
Mwanamuziki huyo amecheza na msemaji mkuu wa timu hiyo ya Simba sc Mh. Haji Sande Manara kwa lengo la kuburudisha watanzania na wadau wote wa soka nchini na nje ya nchi ya Tanzania.
NANDY KUTEMBEA NA MABODY GURD KILA KONA.
Mwanamuziki anayefanya vizuri katika tasnia ya muziki Nandy ameonekana kutembea na walinzi wake kila sehemu anakopita au kualikwa.
Je siku hizi kutembea na walinzi ndo fasheni au ni swala la kujiimarishia ulinzi? Toa maoni yako...!
Post a Comment