HAJI SANDE MANARA ACHORWA.
Msemaji wa club ya simba sports club Mh. Haji Manara amechorwa na mshabiki wa simba sports club baada ya kuvutiwa na utendaji kazi mzuri wa Manara katika club iyo.
Manara atoa shukrani zake za dhati kwa mchoraji wa picha iyo anayefahamika kwa jina la Amos.
Post a Comment