Uongozi wa timu ya simba sports club leo umekaa kwenye kikao cha mwisho wa mwaka kwa timu hiyo ambapo timu hiyo ilikuwa na madhumuni ya kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wa bodi ya timu. Uongozi wa timu hiyo umemchagua FATEMA DEWJI kuwa mlezi wa timu ya simba kwa upande wa wanawake (Simba Queens)
Post a Comment