SIMBA KUINGIA MAKUBALIANO NA WIZARA YA MALI ASILI.
  Uongozi wa simba sports club umeingia makubaliano na wizara ya mali asili kwa lengo la timu hiyo kuitangaza Tanzania kimataifa itakapoenda kucheza club bingwa Africa. Timu hiyo inatarajiwa kuanza hatua ya makundi febuary 12 mwaka huu dhidi ya AS VITA ya CONGO.

  Neno VISIT TANZANIA tayari ishaingizwa katika jezi mpya ya simba kama inavyoonekana katika picha hapo chini.

Post a Comment